BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ADAI KUWA UJIO WA RAIS OBAMA SI KWA AJILI YA RASILIMALI ZA MTANZANIA
Akiongea na waandishi wa habari jana,
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhard amesema ziara ya
mwezi ujao ya Rais wa Taifa la Marekani, Barack Obama nchini Tanzania
haina ajenda ya siri: "kuna maswali mengi naulizwa kwa nini
Rais Obama amechagua kuzuru Tanzania? Ni kweli Rais wetu anakuja
malengo ya ziara yake yatajikita katika mambo ambayo ni malengo ya
Marekani kwa Afrika, ambayo ni uhusiano wa kiuchumi, kuimarisha
demokrasia na kuwekeza katika kujenga kizazi kijacho cha uongozi." SWALI;KWANINI KILA RAIS WA MAREKANI AKIKARIBIA KUMALIZA MDA WAKE HUTEMBELEA TANZANIA? JIBU;
No comments:
Post a Comment