Wednesday, June 12, 2013

AMA KWELI ELIMU HAINA MWISHO,,BIBI WA MIAKA 78 AANZA DARASA LA KWANZA HUKO KENYA


HIZI NDO SABABU KUU ZA WANAWAKE WENGI KUVAA NUSU UCHI


           HUYU NI MSANII AMANI AKITUMBUIZA HUKU NYETI ZAKE                  ZIKIWA WAZI
          Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.    Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.    Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.    Inawezekana wameshindwa... 

WAFUMANIWA GUEST MUME WA MTU NA MKE WA MTU......DUUH BONGE LA AIBU

            Hii Tabia ya Kutembea  na Waume au Wake za Watu  itaisha lini jamani?. Mbona Wanaume Ma-Bachelor Wapo Kibao? Ukimwi Nao Je? Kuna Nini Huko Katika Ndoa ??? Uchunguzi uliofanywa  na mtandao huu  umebaini kuwa siku  hizi watu wanaolewa au kuoa ili kuifurahisha jamii tu.  Ndoa zetu zimejaa usaliti wa kila hali.Chanzo cha maovu hayo ni tamaa ya pesa, kutoridhika kimapenzi,  ushawishi wa kupandishwa  kazi   na mambo mengine kibao => USHAURI  WANGU  KWA WANAWAKE.... Kama mtu  ana akili nzuri naamini  atakuwa ni mwerevu. Nawasihi wanawake ...

"SIKUENDA AFRIKA KUSINI KUJIUZA....PICHJA ZANGU ZILISAMBAA NIKIWA NIMELEWA"..AGNESS MASOGANGE

          Anaweza kuwa ndo video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on two videos pekee anabaki kuwa Video queen mwenye jina kubwa zaidi.  Siku za karibuni amekuwa akimake headlines on social networks pia magazeti baada ya video na picha zake chafu kusambaa on  social networks,ni imefanya nae Exclusive interview na kuongea ya moyoni kuhusu yote yanayozungumzwa kumhusu. ''Me cjui hizo picha zilisambaa vipi sababu izo picha zilikuwepo kwenye camera yangu na mimi cku hiyo nilikuwa nimelewa, i was drunk sikuwa naelewa chochote na nilikuwa south Africa kwa hiyo maswala ya kuandika habari za uongo eti nimeenda... 

AIBU...AIBU...AIBU SHUHUDIA PICHA ZA WASANII WETU WA BONGO WAKIFANYA MAPENZI VICHAKANI



           Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, walikutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani.
Hili ni tukio la aina yake lililowahi tikisa bongo movie kati ya mwaka 2011/ 2012.......
Tangu mwaka jana kumekuwa na mfumuko wa kasi kwa wasanii wa kibongo kupiga picha za utupu na kuzisambaza mitandaoni huku wengine wakijiuza live...!!!


SKENDO: HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEPOTEZA NYETI ZAKE MARA BAADA YA KUFAMANIWA AKILA URODA NA MUME WA MTU HUKO BUKOBA...!!

            Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu  alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya...

HII NDO VIDEO YA MCHUNGAJI ALIYENASWA AKIMTOMASA MUUMINI WAKE..

KATIKA  hali ya kushangaza , mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta akiaibika baada ya video yake aliyokuwa  akimtomasa  mwanamke  wakati wa  maombi  kuvuja na kusambaa kitika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Video hiyo ilirekodiwa kwa kutumia kamera zilizokuwa zimetegeshwa kitika ofisi ya mchungaji huyo bila yeye kujua.