Friday, June 7, 2013

HABARI ZILIZOPATIKANA SASA CLUB YA YANGA NAYO YAGOMA KWENDA DARFUR

Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo cha karibu na uongozi wa klabu wa Yanga ni kwamba mabingwa hao watetezi wa kombe la Kagame hawatoenda kushiriki michuano hiyo mwaka huu iliyopangwa kuanza hivi karibuni huko Darfur Sudan.

No comments:

Post a Comment