Wednesday, June 12, 2013

HIZI NDO SABABU KUU ZA WANAWAKE WENGI KUVAA NUSU UCHI


           HUYU NI MSANII AMANI AKITUMBUIZA HUKU NYETI ZAKE                  ZIKIWA WAZI
          Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.    Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.    Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.    Inawezekana wameshindwa... 

No comments:

Post a Comment