Wednesday, June 12, 2013

WAFUMANIWA GUEST MUME WA MTU NA MKE WA MTU......DUUH BONGE LA AIBU

            Hii Tabia ya Kutembea  na Waume au Wake za Watu  itaisha lini jamani?. Mbona Wanaume Ma-Bachelor Wapo Kibao? Ukimwi Nao Je? Kuna Nini Huko Katika Ndoa ??? Uchunguzi uliofanywa  na mtandao huu  umebaini kuwa siku  hizi watu wanaolewa au kuoa ili kuifurahisha jamii tu.  Ndoa zetu zimejaa usaliti wa kila hali.Chanzo cha maovu hayo ni tamaa ya pesa, kutoridhika kimapenzi,  ushawishi wa kupandishwa  kazi   na mambo mengine kibao => USHAURI  WANGU  KWA WANAWAKE.... Kama mtu  ana akili nzuri naamini  atakuwa ni mwerevu. Nawasihi wanawake ...

No comments:

Post a Comment