Wednesday, June 12, 2013

"SIKUENDA AFRIKA KUSINI KUJIUZA....PICHJA ZANGU ZILISAMBAA NIKIWA NIMELEWA"..AGNESS MASOGANGE

          Anaweza kuwa ndo video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on two videos pekee anabaki kuwa Video queen mwenye jina kubwa zaidi.  Siku za karibuni amekuwa akimake headlines on social networks pia magazeti baada ya video na picha zake chafu kusambaa on  social networks,ni imefanya nae Exclusive interview na kuongea ya moyoni kuhusu yote yanayozungumzwa kumhusu. ''Me cjui hizo picha zilisambaa vipi sababu izo picha zilikuwepo kwenye camera yangu na mimi cku hiyo nilikuwa nimelewa, i was drunk sikuwa naelewa chochote na nilikuwa south Africa kwa hiyo maswala ya kuandika habari za uongo eti nimeenda... 

No comments:

Post a Comment