Friday, June 7, 2013

MSANII M TO THE P AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA MSANII MWENZAKE NGWEAIR

M2  THE P amefanikiwa  kutoa  salamu zake  za  mwisho  kwa  rafiki yake  kipenzi mangwea hapa mjini morogoro katika viwanja vya jamuhuri.. ambaye  alikuwa  naye  huko  Afrika  kusini  tena  walikuwa  ndani  ya  chumba  kimoja  kabla ya  mauti  kumkuta Ngwea....!! Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa  amefichwa  na  kudanganywa  kuwa  Ngwea  alikuwa  ametangulia  Tanzania. Baadaye  Maggie  alilazimika  kumweleza  ukweli...... ...

No comments:

Post a Comment